Course Kiswahili Le Topic Mada Ya 2 Utungaji Wa B
Course Kiswahili Le Topic Mada Ya 2 Utungaji Wa Barua Rasmi Mada ya 2 utungaji wa barua rasmi. • malengo ya ujifunzaji: kueleza maana ya barua rasmi, kutaja sehemu kuu za barua rasmi, kubainisha mahali tofauti pa kutumia barua rasmi, kuonyesha umuhimu wa barua rasmi, kutambua nafasi ya kiwakilishi rejeshi po katika kitenzi. somo la 3: mwongozo wa kutunga barua. rasmi kikazi. 1. mwandishi ana tajiriba ya: a) miaka miwili b) cheti cha ualimu c) kuomba kazi d) miaka miwili ya kufundisha katika shule za msingi. 2. baadhi ya vitambulisho vilivyoambatishwa kuna: a) ombi la kazi b) cheti cha ualimu pamoja na nakala ya kitambulisho cha uraia c) kitambulisho cha mwajiri wa mwisho d) b na c ni sahihi 3.
Course Kiswahili Le Topic Mada Ya 2 Utungaji Wa Barua Rasmi Mada ya 3 utungaji wa insha. • malengo ya ujifunzaji. kueleza maana ya insha na aina zake, kubainisha mbinu au taratibu za kutunga insha, kutaja aina za insha, kubainisha sifa za insha ya masimulizi na ya kubuni, kuchunguza sifa za sehemu kuu za insha, kupanga mawazo kwa mfuatano mzuri, kutumia kwa ufasaha alama za vituo. Click the links below to view the notes: topic 1 ngeli za maneno. topic 2 mjengo wa tungo. topic 3 maendeleo ya kiswahili. topic 4 (a) uhakiki wa kazi za fasihi andishi (utangulizi, maelezo) (b) uhakiki wa kazi za fasihi andishi (riwaya, tamthiliya, ushairi) topic 5 utungaji wa kazi za fasihi andishi. Lake. katika utungaji wa insha kuna insha za wasifu, insha za picha, insha za. mdokezo, insha za maelezo, insha za masimulizi, insha za methali, insha za hoja. na insha za kubuni. jibu maswali haya. 1. kwa maoni yako nini maana ya insha ? 2. kwa sababu gani katika utungaji wa insha ni lazima kuheshimu sehemu. za insha ? 3. andika sifa kuu tano. Kiswahili: kidato cha nne: mada kuu: utungaji wa kazi za fasihi : mada ndogo: kanuni za utungaji wa mashairi.idara ya elim mkoa wa morogoro.jina la mwalimu:.
Course Kiswahili Le Topic Mada Ya 2 Utungaji Wa Barua Rasmi Lake. katika utungaji wa insha kuna insha za wasifu, insha za picha, insha za. mdokezo, insha za maelezo, insha za masimulizi, insha za methali, insha za hoja. na insha za kubuni. jibu maswali haya. 1. kwa maoni yako nini maana ya insha ? 2. kwa sababu gani katika utungaji wa insha ni lazima kuheshimu sehemu. za insha ? 3. andika sifa kuu tano. Kiswahili: kidato cha nne: mada kuu: utungaji wa kazi za fasihi : mada ndogo: kanuni za utungaji wa mashairi.idara ya elim mkoa wa morogoro.jina la mwalimu:. Utungaji wa hadithi fupi. kama tulivyokwisha ona hapo nyuma sifa za hadithi fupi, basi katika utungaji wake mambo yafuatayo ni sharti yazingatiwe: 1. hadithi fupi inakuwa na mhusika mkuu mmoja ambaye anajitokeza sana kuliko wahusika wengine. 2. idadi ya wahusika ni ndogo ukilinganisha na wahusika wa kwenye riwaya. Sawa na kazi nyingine za fasihi, uhakiki wa mashairi huzingatia fani na maudhui. a) fani. uhakiki wa fani ya shairi huzingatia muundo wake, yaani jinsi shairi lilivyoundwa. kwa kuangazia mizani, vina, mishororo n.k aidha, ni muhimu kutaja aina na bahari. za shairi zinazohusiana na kila sifa uliyoitaja.
Course Kiswahili Le Topic Mada Ya 2 Utungaji Wa Barua Rasmi Utungaji wa hadithi fupi. kama tulivyokwisha ona hapo nyuma sifa za hadithi fupi, basi katika utungaji wake mambo yafuatayo ni sharti yazingatiwe: 1. hadithi fupi inakuwa na mhusika mkuu mmoja ambaye anajitokeza sana kuliko wahusika wengine. 2. idadi ya wahusika ni ndogo ukilinganisha na wahusika wa kwenye riwaya. Sawa na kazi nyingine za fasihi, uhakiki wa mashairi huzingatia fani na maudhui. a) fani. uhakiki wa fani ya shairi huzingatia muundo wake, yaani jinsi shairi lilivyoundwa. kwa kuangazia mizani, vina, mishororo n.k aidha, ni muhimu kutaja aina na bahari. za shairi zinazohusiana na kila sifa uliyoitaja.
Course Kiswahili Le Topic Mada Ya 2 Utungaji Wa Barua Rasmi
Comments are closed.