Inasikitisha Maiti Sita Zafungwa Kwenye Viroba Zatupwa Mto Ruvu
Inasikitisha Maiti Sita Zafungwa Kwenye Viroba Zatupwa Mto Ruvu Youtube Inasikitisha maiti sita zafungwa kwenye viroba zatupwa mto ruvu. Baada ya kuibuka kwa maswali juu ya maiti hizo ambapo pia iliongezeka moja na kufikia 7, waziri wa mambo ya ndani, mwigulu nchemba kupitia kituo kimoja cha runinga nchini, alisema huenda miili ya watu hao saba waliokutwa kwenye mto huo ni wahamiaji haramu.
Mapya Yaibuka Kufuatia Miili 6 Kufungwa Kwenye Viroba Na Kutupwa Mto Desemba 8, mwaka huu maiti saba ziliokotwa katika mto ruvu na muda mfupi baadaye zilizikwa kando ya mto huo huku serikali ikiahidi kuendelea na uchunguzi. akizungumza na mwananchi kwa simu jana, nganzo alisema atakabidhi taarifa ya alichokiona kwa mkurugenzi wa halmashauri ya bagamoyo kwa ajili ya kuifanyia kazi. Waziri mwigulu alisema kitendo cha kukutwa kwa wahamiaji zaidi ya 80 wakiwa na majeraha na hawajiwezi mkoani pwani, kinahusisha kwa namna moja au nyingine na maiti zilizookotwa mto ruvu mwaka jana. aliongeza kuwa, tanzania hakuna tishio lolote kuhusu watu kupotea au kuuawa kama inavyoelezwa na baadhi ya watu na kusema kuwa wizara yake. Miili ya watu watatu imeokotwa ikiwa imefungiwa kwenye mifuko ya sandarusi maarufu viroba, baada ya kutupwa na watu wasiojulikana katika kitongoji cha dibabara, kijiji cha kwastemba, wilaya ya kilindi mkoani tanga. Kati ya desemba 6 na 8 mwaka jana, maiti saba ambazo hazikutambulika zilikutwa zikielea katika mto ruvu, bagamoyo mkoani pwani, zikiwa pia zimehifadhiwa kwenye viroba na kuharibika vibaya. diwani wa kata ya makurunge, paul kabile aliviambia vyombo vya habari wakati huo maiti hizo zilikuwa za jinsia ya kiume na ziligunduliwa na wavuvi.
Mapya Yaibuka Kufuatia Miili 6 Kufungwa Kwenye Viroba Na Kutupwa Mto Miili ya watu watatu imeokotwa ikiwa imefungiwa kwenye mifuko ya sandarusi maarufu viroba, baada ya kutupwa na watu wasiojulikana katika kitongoji cha dibabara, kijiji cha kwastemba, wilaya ya kilindi mkoani tanga. Kati ya desemba 6 na 8 mwaka jana, maiti saba ambazo hazikutambulika zilikutwa zikielea katika mto ruvu, bagamoyo mkoani pwani, zikiwa pia zimehifadhiwa kwenye viroba na kuharibika vibaya. diwani wa kata ya makurunge, paul kabile aliviambia vyombo vya habari wakati huo maiti hizo zilikuwa za jinsia ya kiume na ziligunduliwa na wavuvi. Inasikitisha maiti sita zafungwa kwenye viroba zatupwa mto ruvu. jpm jpm ampigia simu rc makonda akiwa mkutanoni ubungo. share. global publishers. Maiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika mto ruvu eneo la bagamoyo, mkoa wa pwani zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko ya sandarusi maarufu viroba vya uzito wa kilogramu 200, huku zikiwa zimeharibika vibaya. diwani wa kata ya makurunge, paul kabile alisema maiti hizo ambazo ni za jinsia ya kiume ziligunduliwa na wavuvi.
Mapya Yaibuka Kufuatia Miili 6 Kufungwa Kwenye Viroba Na Kutupwa Mto Inasikitisha maiti sita zafungwa kwenye viroba zatupwa mto ruvu. jpm jpm ampigia simu rc makonda akiwa mkutanoni ubungo. share. global publishers. Maiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika mto ruvu eneo la bagamoyo, mkoa wa pwani zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko ya sandarusi maarufu viroba vya uzito wa kilogramu 200, huku zikiwa zimeharibika vibaya. diwani wa kata ya makurunge, paul kabile alisema maiti hizo ambazo ni za jinsia ya kiume ziligunduliwa na wavuvi.
Mapya Yaibuka Kufuatia Miili 6 Kufungwa Kwenye Viroba Na Kutupwa Mto
Comments are closed.