Jinsi Ya Kuchanganya Chakula Cha Kuku Wa Mayai Layers Meal Preparation
Jinsi Ya Kuchanganya Chakula Cha Kuku Wa Mayai Layers Meal Preparation #chakulachakuku #magonjwayakuku #tibaasili ️jifunze zaidi jinsi ya kuandaa vyakula vya kuku aina mbalimbali za kuku kama vile chotara, kienyeji broilers na k. Chumvi robo kilo. chokaa ya mifugo kilo 3. unga wa mifupa kilo 5. layers premix robo kilo. muhimu. – hakikisha unachanganya vizuri ili kupata mchanganyiko wenye uwiano sahihi wa virutubisho. – chakula kihifadhiwe vizuri ili kuzuia unyevu. – kuku wapewe chakula kwa kiasi kulingana na umri na idadi yao. kipindupindu cha kuku (fowl cholera).
Jinsi Ya Kuchanganya Chakula Cha Kuku Youtube Kuku kama wanyama wengine wanahitaji vyakula vyenye virutubisho vyote muhimu ili kuweza kufanya uzalishaji bora. video hii imeandaliwa kwa lengo la kuweza ku. Jinsi ya kupata vyakula vya aina mbali mbali; kiasi cha viinilishe vinavyohitajika kwa kuzingatia umri na aina tofauti ya kuku; kwa mfano vifaranga wanahitaji protini asilimia 18 hadi 22, kuku wanaokua asilimia 17 hadi 19 na kuku wa mayai asimilia 15 hadi 17. 6 kg chokaa (kwa ajili ya calcium) jinsi ya kutengeneza chakula (70kg) kwa ajili ya kuku wa nyama. mahindi= 40 kg. dagaa = 12 kg. maharage ya soya = 14 kg. chokaa = 4 kg. nb: hakikisha unaongeza chumvi 250g katika kila mfuko wa 70kg wa chakula chako. ndondoo muhimu ya jinsi ya kuwalisha kuku wako nyumbani. A: kuku wa mayai (layers chicken) 1. kutengeneza chakula cha vifaranga wa wiki 1 hadi 4 (chick mash) vifaranga wa kuku wanahitaji kiwango cha protini muhimu (digestible crude protein) kuanzia asilimia 18 hadi 20%. mchanganuo ufuatao hutengeneza uzani wa kilo 100 za chakula.
Jinsi Ya Kuchanganya Chakula Cha Kuku Ufugaji Wa Kuku Youtube 6 kg chokaa (kwa ajili ya calcium) jinsi ya kutengeneza chakula (70kg) kwa ajili ya kuku wa nyama. mahindi= 40 kg. dagaa = 12 kg. maharage ya soya = 14 kg. chokaa = 4 kg. nb: hakikisha unaongeza chumvi 250g katika kila mfuko wa 70kg wa chakula chako. ndondoo muhimu ya jinsi ya kuwalisha kuku wako nyumbani. A: kuku wa mayai (layers chicken) 1. kutengeneza chakula cha vifaranga wa wiki 1 hadi 4 (chick mash) vifaranga wa kuku wanahitaji kiwango cha protini muhimu (digestible crude protein) kuanzia asilimia 18 hadi 20%. mchanganuo ufuatao hutengeneza uzani wa kilo 100 za chakula. Kuku wa mayai wanaotaga wanahitaji chakula kiasi cha gramu 130 hadi 140 kwa siku. kuku wadogo wa mayai wanaokaribia umri wa kutaga, inatakiwa wapewe chakula kiasi cha gramu 60 kwa siku kwa muda wa miezi 2 na 1 2 na baadae wapatie chakula cha 'layer mash' kwa kiwango cha gramu 140 kwa siku. pia kwa kuwaongezea lishe zaidi wapatie mboga mboga. Premix gramu 100 (kilo 0.1) lysine gramu 50 (kilo 0.05) threonine gramu 50 (kilo 0.05) jumla kilo 100.00. 2. kutengeneza chakula kuku wa nyama kuanzia siku ya 21 hadi 42 (broiler finisher) wapatie kuku wako chakula hiki kwa awamu mbili, awamu ya kwanza wapatie kwa siku 14 yaani kuanzia siku ya 21 hadi siku ya 35 na awamu ya pili na ya mwisho.
Namna Ya Kutengeneza Chakula Cha Kuku Wa Kisasa Kuku Wa Nyama Na Wa Kuku wa mayai wanaotaga wanahitaji chakula kiasi cha gramu 130 hadi 140 kwa siku. kuku wadogo wa mayai wanaokaribia umri wa kutaga, inatakiwa wapewe chakula kiasi cha gramu 60 kwa siku kwa muda wa miezi 2 na 1 2 na baadae wapatie chakula cha 'layer mash' kwa kiwango cha gramu 140 kwa siku. pia kwa kuwaongezea lishe zaidi wapatie mboga mboga. Premix gramu 100 (kilo 0.1) lysine gramu 50 (kilo 0.05) threonine gramu 50 (kilo 0.05) jumla kilo 100.00. 2. kutengeneza chakula kuku wa nyama kuanzia siku ya 21 hadi 42 (broiler finisher) wapatie kuku wako chakula hiki kwa awamu mbili, awamu ya kwanza wapatie kwa siku 14 yaani kuanzia siku ya 21 hadi siku ya 35 na awamu ya pili na ya mwisho.
Uchanganyaji Wa Chakula Cha Kuku Wa Kienyeji Kienyeji Layers Mash
Tunauza Chakula Cha Kuku Mayai Joack Complete Layers Mas Flickr
Comments are closed.