Business is booming.

Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kununua Simu Used

Mambo Ya Muhimu Kuzingati Kabla Ya Kununua Simu Iliyotumika Tanzania
Mambo Ya Muhimu Kuzingati Kabla Ya Kununua Simu Iliyotumika Tanzania

Mambo Ya Muhimu Kuzingati Kabla Ya Kununua Simu Iliyotumika Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia kabla haujanunua simu used refubrished 1. tafuta taarifa sahihi ya simu unayotaka kununua mfano ukubwa wa kioo, uwezo wa battery, network usikubali kuambiwa tu na rafiki yako ukaenda kununua mwingine anaweza kulalamika battery mbovu kumbe simu ina 2500 mah alafu anataka ikae masaa 20 na charge. 2. 1. hali yake ya nje. jambo la kwanza la kuangalia wakati unanunua simujanja smartphone iliyotumika ni hali yake ya nje, hali yake ya nje inakupa picha ya wazi namna gani simu imetunzwa na mtumiaji. angalia mikwaruzo au kama simu imepasuka, angalia kama vitufe buttons zote zinafanya kazi kwa usahihi, angalia sehemu zingine zenye matundu ports.

Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kununua Simu Used Youtube
Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kununua Simu Used Youtube

Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kununua Simu Used Youtube Sep 29, 2024. #1. unapotaka kununua simu mpya, ni muhimu kuzingatia mambo kadhaa ili kuhakikisha unapata kifaa kinachokidhi mahitaji yako. haya ni mambo muhimu ya kuzingatia: 1. bajeti: amua kiasi unachotaka kutumia kabla ya kuchagua simu. simu zinapatikana katika viwango mbalimbali vya bei, hivyo kuwa na bajeti itakusaidia kuzingatia chaguo. Hata hivyo, sio kila mtu anaweza kumudu kununua simu mpya kabisa. kwa bahati nzuri, kununua simu ya mkono iliyotumika inaweza kuwa suluhisho bora kutokana kutarajia unafuu wa gharama. kama unampango wa kununua simu iliyotumika hivi karibuni hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia unaponunua simu ya mkono iliyotumika nchini tanzania. 1. Mambo ya muhimu kabla ya kununua simu yoyote. ni vizuri kujua vitu gani unahitaji ili kuwa na simu bora yenye sifa bora ambazo zitafanya uendelee kutumia simu yako kwa muda mrefu. byamani joseph. aprili 8, 2024. linapokuja swala zima la kununua smartphone ni wazi kuwa unahitaji simu ambayo itaendana na wakati usika ikiwa pamoja na kuwa na uwezo. Mambo 5 ya kuzingatia kabla ya kununua simukatika hii video tunaenda kujifunza mambo matano ya kuzingatia kabla ya kununua simu.ni vitu gani unavijingatia ka.

Mambo 5 Ya Kuzingatia Kabla Ya Kununua Simu Youtube
Mambo 5 Ya Kuzingatia Kabla Ya Kununua Simu Youtube

Mambo 5 Ya Kuzingatia Kabla Ya Kununua Simu Youtube Mambo ya muhimu kabla ya kununua simu yoyote. ni vizuri kujua vitu gani unahitaji ili kuwa na simu bora yenye sifa bora ambazo zitafanya uendelee kutumia simu yako kwa muda mrefu. byamani joseph. aprili 8, 2024. linapokuja swala zima la kununua smartphone ni wazi kuwa unahitaji simu ambayo itaendana na wakati usika ikiwa pamoja na kuwa na uwezo. Mambo 5 ya kuzingatia kabla ya kununua simukatika hii video tunaenda kujifunza mambo matano ya kuzingatia kabla ya kununua simu.ni vitu gani unavijingatia ka. Yote yanayofanyika kwenye simu upitia hapa. ndiyo sehemu inayounganisha hardware na software kwenye simu, tunapaita soc (system on chip). zimegawanyika katika makundi 3 ️entry level chipset (150k 499k) ️mid range chipset (500k 1.39m) ️flagship chipset (1.4m ) twitter thread by james munisi @njiwaflow rattibha. Leo teknokona tunakuambia maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kununua simu. 1. je nataka simu ya kawaida au nataka simu janja? kama unaitaji kununua simu kwa ajili ya kupiga na kupokea simu tuu, pamoja na kutuma meseji kwa mfumo wa kawaida wa sms basi huna sababu ya kupoteza pesa nyingi kwa ajili ya kununua simu janja. ni rahisi sana kufanya.

Comments are closed.