Business is booming.

Rais Mwinyi Abainisha Utaratibu Mpya Wa Mikopo Zanzibar 4 4 2

rais mwinyi Aitaka Benki Kuu Kuwezesha Dhamana Za mikopo Ya Miradi Ya
rais mwinyi Aitaka Benki Kuu Kuwezesha Dhamana Za mikopo Ya Miradi Ya

Rais Mwinyi Aitaka Benki Kuu Kuwezesha Dhamana Za Mikopo Ya Miradi Ya Serikali ya mapinduzi ya zanzibar yatekeleza mikakati ya uwezeshaji wa wananchi kiuchumiserikali ya mapinduzi ya zanzibar imeeleza mafanikio katika utekeleza. Smz kuendeleza mikakati ya kiuchumi. na mwandishi wetu september 20, 2024. zanzibar : rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, dk. hussein ali mwinyi, amesema kuwa serikali ya mapinduzi ya zanzibar imeahidi kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuwawezesha wananchi kiuchumi, na tayari imefanikiwa kujenga masoko unguja na pemba. rais dk.

rais mwinyi Aitaka Benki Kuu Kuwezesha Dhamana Za mikopo Ya Miradi Ya
rais mwinyi Aitaka Benki Kuu Kuwezesha Dhamana Za mikopo Ya Miradi Ya

Rais Mwinyi Aitaka Benki Kuu Kuwezesha Dhamana Za Mikopo Ya Miradi Ya Hotuba ya rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi mheshimiwa dk. hussein ali mwinyi, katika kuadhimisha miaka 60 ya mapinduzi ya zanzibar tarehe: 11 januari, 2024 assalamu aleikum ndugu wananchi, naomba nianze kwa kumshukuru mwenyezi mungu, kwa kutupa uhai na afya njema na kutuwezesha kufikia siku ya leo, tukiwa katika mkesha wa. Hotuba ya rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi mheshimiwa dk. hussein ali mwinyi katika kilele cha sherehe za wafanyakazi duniani (mei mosi) katika uwanja wa gombani mkoa wa kusini pemba . tarehe: 01 mei,2024. mheshimiwa sharifu ali sharifu; waziri wa nchi, afisi ya rais, kazi, uchumi na uwekezaji,. Amesema kuwa serikali imeanzisha utaratibu mpya wa kutumia asilimia kumi ya mapato ya ndani ya mamlaka za serikali za mitaa kwa kuweka utaratibu mzuri wa kutoa mikopo kwa makundi maalum maarufu kwa jina la 4.4.2, ikimaanisha asilimia 4 kwa wanawake, asilimia 4 kwa vijana, na asilimia 2 kwa watu wenye ulemavu. rais mwinyi ameeleza kuwa. Wilaya na kuwapatia mikopo nafuu, kuwawezesha wavuvi wadogo na wakulima wa mwani kwa kuwapatia mikopo na vifaa na kuanza ujenzi wa barabara kuu km 103.5, barabara za ndani mjini na vijijini km 275 pamoja na ujenzi wa barabara za mjini km 100 na madaraja ya juu mawili (flyover) katika manispaa ya mji wa zanzibar.

Comments are closed.