Wambura Aomba Msamaha Na Kukiri Makosa Yake Kwa Dpp Youtube
Wambura Aomba Msamaha Na Kukiri Makosa Yake Kwa Dpp Youtube Aliyekuwa makamu wa rais wa shirikisho la soka tanzania(tff), michael wambura ameieleza mahakama ya hakimu mkazi kisutu kuwa ameandika barua kwa mkurugenzi w. Wambura alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza, februari 11, mwaka huu, akikabiliwa na mashtaka 17 yakiwemo ya kutakatisha fedha zaidi ya sh 100milioni, katika kesi ya uhujumu uchumi namba 10 2019.
Wambura Aomba Msamaha Na Kukiri Makosa Yake Kwa Dpp Millard Ayo Jumatatu wiki hii, mkurugenzi wa mashtaka (dpp) wa tanzania, biswalo mganga, ambaye ndiye anaepokea barua hizo alibainisha kuwa kufikia siku hiyo ofisi yake ilishapokea barua 467. Diamond anatisha?? wizkid na davido wamjibu, harmonize aomba msamaha kwa kauli yake ( recap) #diamondplatnums #zuchu #harmonize bifu la diamond na harmonize. Februari 25, 2021 mahakama ilitoa siku 30 kwa seth na makandege kufikia majadiliano na dpp. mahakama ilifikia uamuzi huo baada ya seth kupitia kwa wakili wake, melchisedeck lutema kuieleza kuwa licha ya kuandika barua mbili kuomba kufanya majadiliano, lakini mpaka siku hiyo zote hazikujibiwa. wakili lutema alieleza kuwa kwa mujibu wa kanuni ya. Wambura amedai hayo leo oktoba 2, 2019 mbele ya hakimu mfawidhi, kelvin mhina, kuwa aliandika barua kwa dpp kuomba msamaha na kukiri makosa yake hivyo ameuomba upande wa mashtaka kufuatilia ili aweze kupata haki yake. wakili wa serikali mwandamizi, wankyo simon, amesema suala hilo analifanyia kazi kwa haraka zaidi.
Wambura Aandika Barua Kuomba Msamaha Kwa Dpp Youtube Februari 25, 2021 mahakama ilitoa siku 30 kwa seth na makandege kufikia majadiliano na dpp. mahakama ilifikia uamuzi huo baada ya seth kupitia kwa wakili wake, melchisedeck lutema kuieleza kuwa licha ya kuandika barua mbili kuomba kufanya majadiliano, lakini mpaka siku hiyo zote hazikujibiwa. wakili lutema alieleza kuwa kwa mujibu wa kanuni ya. Wambura amedai hayo leo oktoba 2, 2019 mbele ya hakimu mfawidhi, kelvin mhina, kuwa aliandika barua kwa dpp kuomba msamaha na kukiri makosa yake hivyo ameuomba upande wa mashtaka kufuatilia ili aweze kupata haki yake. wakili wa serikali mwandamizi, wankyo simon, amesema suala hilo analifanyia kazi kwa haraka zaidi. News updates kutoka katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ni kuhusu aliyekuwa makamu wa rais wa shirikisho la soka tanzania (tff), michael wambura, kueleza kuwa tayari amemwandikia barua mkurugenzi wa mashtaka nchini (dpp) akiomba msamaha na kukiri makosa yake. wambura amedai hayo leo. Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya jatu plc, peter gasaya (33) anayekabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kujipatia sh5.1 bilioni kwa njia ya udanganyifu, amemwandika barua ya kukiri na kuomba apunguziwe adhabu, mkurugenzi wa mashtaka nchini tanzania (dpp). gasaya anadaiwa kujipatia fedha hizo kutoka katika saccos ya jatu kwa madai kuwa fedha hizo.
Comments are closed.